Uwanja wa Michezo wa Eva Perón

Uwanja wa Michezo wa Eva Perón ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Junín nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sarmiento (J) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 22,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Eva Perón kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.