Uwanja wa Michezo wa Fukuda Denshi

Uwanja wa Michezo wa Fukuda Denshi

Uwanja wa Michezo wa Fukuda Denshi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2005 kwenye mji wa Chiba city, Chiba Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya JEF United Ichihara Chiba na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 19,781.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Fukuda Denshi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.