Uwanja wa Michezo wa Hakatanomori Athletics

Uwanja wa Michezo wa Hakatanomori Athletics

Uwanja wa Michezo wa Hakatanomori Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1990 kwenye mji wa Fukuoka city, Fukuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Avispa Fukuoka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hakatanomori Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.