Uwanja wa Michezo wa Julio Grondona ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Argentina. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Sarandí nchini Argentina. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Arsenal na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,500.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Julio Grondona kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |