Uwanja wa Michezo wa Obdulio Varela ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 2002 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Social y Deportivo Villa Española na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,000.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Obdulio Varela kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |