Uwanja wa Michezo wa Profesor Alberto Suppici ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa kwenye mji wa Colonia del Sacramento nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Plaza Colonia de Deportes na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,500.[1]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Profesor Alberto Suppici kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |