Uwanja wa michezo wa Lat Dior ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli mbalimbali unapatikana huko Thiès, nchini Senegal. Uwanja huu umepewa jina kwa heshima ya Lat Jor [1]. Unastahimili takribani watu 20,000.[2]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Lat-Dior kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |