Uwanja wa michezo wa Aswan

Uwanja wa michezo wa Aswan ni uwanja unaopatikana katika jiji la Aswan, nchini Misri. Uwanja huu una uwezo wa kuingiza watazamaji 11,000. ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Aswan FC.[1]

Marejesho

[hariri | hariri chanzo]
  1. "World Stadiums". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-07. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Aswan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.