Uwanja wa michezo wa Barbourfields

Uwanja wa mchezo wa Barbourfields ni uwanja wa michezo uliopo nchini Zimbabwe katika mji wa Bulawayo ukiwa ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Highlanders F.C moja ya timu kubwa katika nchi ya Zimbabwe na uwanja huu unamilikiwa na mamlaka ya mji wa Bulawayo, mashabiki wa soka katika mji huu wanapoenda kuuita uwanja huu kwa jina la utani la Emagumeni uwanja huu umewahi kutumika pia kama uwanja wa nyumbani kwa timu za Bantu Rovers FC,How Mine FC na Chicken Inn FC na una uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000, pia, huu ni uwanja wa pili kwa ukubwa nchini Zimbabwe baada ya uwanja wa taifa unaochuku mashabiki 60,000.[1]

  1. "www.highlandersfc.co.zw". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Desemba 2008. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2008. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Barbourfields kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.