Uwanja wa michezo wa Huye ni uwanja wa michezo wenye shughuli mbalimbali za kimichezo huko Butare nchini Rwanda. Hivi sasa hutumiwa zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Mukura Victory Sports FC.[1] Uwanja huo una uwezo wa kuhimili watu 20,000.[2]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Huye kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |