Uwanja wa Jeunes ni uwanja wa michezo ulioko Kananga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni uwanja wenye uwezo wa kuchukua takribani watazamaji 10,000. Na pia unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya US Tshinkunku na AS Saint-Luc.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Jeunes kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |