Uwanja wa michezo wa Joaquim Dinis ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi. Uwanja huo unapatika Luanda, nchini Angola. Kwa sasa unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu, ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Atlético Sport Aviação. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000 na ulijengwa mnamo mwaka 2003.[1]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Joaquim Dinis kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |