Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpieces Moripe

Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpiece Moripe ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughili mbalimbali unaopatikana Atteridgeville, Afrika Kusini wenye uwezo wa Kuchukua idadi ya washabiki 28,900 na uliogharimu kiasi cha Rand milioni 48 wakati wa maboresho ya mwaka 2008.[1] Kwa sasa unatumika kwa michezo ya shirikisho la mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa muda kwa klabu za ligi kuu kama vile Supersport United na Mamelodi Sundowns [2] ambapo hutumia pia Uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld.

Jina la uwanja lilitokana na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu aliyefahamika kama Lucas Moripe. Mpaka mwaka 2010 uwanja huu ulikuwa ukifahamika kama uwanja bora sana (Super).

Timu ya taifa ya Ujerumani walitumia uwanja huu kwa mazoezi kipindi cha Kombe la Dunia la FIFA ya mwaka 2010

Viunga vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "$4.7m budgeted for Confederations Cup marketing". 12 Mei 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-11. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ajax lused Cape Town Stadium". KickOff Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Lucas Masterpieces Moripe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.