Uwanja wa michezo wa NNK Rugby

Uwanja wa michezo wa NNK Rugby ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mbalimbali na unapatikana Parow,Cape Town, nchini Afrika Kusini. Uwanja huu mwanzoni ulitumika zaidi kwa mchezo wa rugby. Septemba 2010, uwanja huo ukawa uwanja mpya wa nyumbani wa klabu ya Daraja la Kwanza la Kitaifa ya FC Cape Town,[1] Kwa sasa unatumika zaidi katika mchezo wa mpira yaani soka.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. FC Cape Town (2010-09-06). "All roads lead to NNK Rugby Stadium in Parow". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-30. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa NNK Rugby kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.