Uwanja wa michezo wa Ruaraka ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali, unapatikana katika jiji la Nairobi,nchini Kenya.Uwanja huu unatumika zaidi na chama cha mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa Tusker F.C. Uwanja huo unachukua watu takribani 4,000.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ruaraka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |