Uwanja wa michezo wa Sam Nujoma ni uwanja wa michezo ambao pia unajulikana kama Sam Nujoma Soccer Stadium au SNSSni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana uko Katutura,nchini Namibia. Uwanja huo unachukua watu 10,300 na ulimalizwa kujengwa mwaka 2005.[1] Ulipewa jina kutoka kwa raisi wa nchi iyo Sam Nujoma.
Jina la uwanja huo sio kama inavyosemwa sana jina jipya la uwanja huo ni Uwanja wa Uhuru (Namibia). [2]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sam Nujoma kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |