Stade de Port-Gentil ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Port-Gentil nchini Gabon, wenye uwezo wa kuchukua watu 20,000[1] uwanja huu ulifunguliwa mwaka 2017 wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa Huru ya Afrika
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Stade de Port-Gentil kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |