Uwanja wa michezo wa Suez Canal

Uwanja wa michezo wa Suez Canal unapatikana huko Ismailia nchini Misri.Unatumiwa na timu ya Olimpiki El Qanah FC | Olimpiki El Qanah.Uwanja huu una uwezo wakuchukua watu 10,000 kwenye viti vyote.[1] .

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-30. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Suez Canal kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.