Uwanja wa michezo wa manispaa wa Anié (kwa Kifaransa: Stade Municipal) ni uwanja wa mpira wa miguu ulioko Anié nchini Togo; uwanja huu unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Abou Ossé F.C., ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 5,000.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa wa Anié kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |