Uwanja wa michezo wa manispaa wa Kara

Uwanja wa manispaa wa Kara ni uwanja wa michezo nchini Togo wenye uwezo wa kuchukua watu 10,000 unaotumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu, ukiwa uwanja wa nyumbani wa timu ya ASKO Kara.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa wa Kara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.