Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon ni uwanja wenye matumizi mengi inayopatikana Bohicon,nchini Benin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Tonnerre d'Abomey FC inayoshiriki ligi kuu ya Benin. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Bohicon kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |