Uwanja wa mji wa Lafia

Uwanja wa Lafia Township ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana katika Jimbo la Nasarawa, katikati ya nchi ya Nigeria.[1] Hivi sasa inatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na mechi na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira Nasarawa United. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000.[1] uko katikati ya jiji la Lafia, Uwanja wa Mji wa Lafia unaweza kupatikana kando ya Barabara ya Jos-Makurdi, unaoelekea uwanja wa manunuzi.

  1. 1.0 1.1 "Stadiums in Nigeria". World Stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-18. Iliwekwa mnamo 2007-04-22.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mji wa Lafia kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.