Uwanja wa ndege wa Kilwa Masoko English: Kilwa Masoko Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: KIY – ICAO: HTKI | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Kilwa Masoko, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
59 ft / 18 m | ||
Anwani ya kijiografia | 08°54′40″S 39°30′31″E / 8.91111°S 39.50861°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
17/35 | 1,800 | 5 906 | Udongo/Nyasi |
Uwanja wa ndege wa Kilwa Masoko (IATA: KIY, ICAO: HTKI) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Kilwa Masoko nchini Tanzania.
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |