Uwanja wa ndege wa Mpanda English: Mpanda Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: none – ICAO: HTMP | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Mpanda, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,565 ft / 1,087 m | ||
Anwani ya kijiografia | 6°21′19.18″S 31°4′57.08″E / 6.3553278°S 31.0825222°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
09/27 | 1,820 | 5 971 | Lami |
Uwanja wa ndege wa Mpanda (ICAO: HTMP) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Mpanda nchini Tanzania.
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |