Uwanja wa ndege wa Musoma English: Musoma Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: MUZ – ICAO: HTMU – WMO: 63733 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Musoma, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
3,783 ft / 1,153 m | ||
Anwani ya kijiografia | 01°30′10″S 33°48′08″E / 1.50278°S 33.80222°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
18/36 | 1,600 | 5 249 | Changarawe |
Uwanja wa ndege wa Musoma (IATA: MUZ, ICAO: HTMU) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Musoma kaskazini mwa Tanzania.
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |