Uwanja wa ndege wa Nachingwea ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Nachingwea, mkoa wa Lindi, kusini mwa Tanzania.