Uwanja wa ndege wa Ngara ni kiwanja cha ndege kinachohudumia wilaya ya Ngara, kaskazini mwa Tanzania.