Uwanja wa ndege wa Songwe

Uwanja wa ndege wa Songwe
English: Songwe Airport
IATA: noneICAO: HTGW
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Mkoa wa Mbeya
Mwinuko 
Juu ya UB
4,412 ft / 1,345 m
Anwani ya kijiografia 08°55′12″S 33°16′26″E / 8.92000°S 33.27389°E / -8.92000; 33.27389
Ramani
HTGW is located in Tanzania
HTGW
HTGW
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
09/27 3,330 10 925 Lami

Uwanja wa ndege wa Songwe (ICAO: HTGW) ni uwanja wa ndege unaohudumia jiji la Mbeya nchini Tanzania. Uko takriban km 20 upande wa magharibi wa jiji katika bonde la mto Songwe. Uwanja huo unaweza kupokea pia ndege kubwa hivyo imechukua nafasi ya uwanja wa ndege wa zamani uliopo katikati ya jiji ambao hauwezi kupokea eropleni kubwa zenye injini za jeti.

Makampuni ya ndege na vifiko

[hariri | hariri chanzo]
Makampuni ya ndege Vifiko 
Auric Air Dar es Salaam, Iringa, Sumbawanga
Precision Air Dar es Salaam

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]