Uwanja wa ndege wa Tanga

Uwanja wa ndege wa Tanga
English: Tanga Airport
IATA: TGTICAO: HTTG
WMO: 63844
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Tanga, Tanzania
Mwinuko 
Juu ya UB
129 ft / 39 m
Anwani ya kijiografia 5°5′31.52″S 39°4′18″E / 5.0920889°S 39.07167°E / -5.0920889; 39.07167
Ramani
TGT is located in Tanzania
TGT
TGT
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
06/24 1,255 4 117 Lami
14/32 1,388 4 554 Udongo/Nyasi
Takwimu (2003)
Idadi ya abiria 5,865

Uwanja wa ndege wa Tanga (IATA: TGTICAO: HTTG) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Tanga nchini Tanzania.

Kiwanja hiki kiko kilomita 5 (maili 3.1) kusini magharibi mwa mji. Maruko la ndege kiratiba zimepangwa kuelekea miji wa Arusha na Dar es Salaam; na visiwa vya Pemba na Unguja.

Makampuni ya ndege na vifiko

[hariri | hariri chanzo]
Makampuni ya ndege Vifiko 
Auric Air Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar (yaanza 1 June 2013)[1]
Coastal Aviation Arusha, Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar[2]
Tropical Air Arusha, Dar es Salaam, Pemba, Zanzibar[3]
  1. "Ratiba ya Usafiri" (PDF). Auric Air. Aprili 2013. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ratiba ya Usafiri" (PDF). Coastal Aviation. 16 Desemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-06-16. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Ratiba ya Usafiri" (PDF). Tropical Air. Julai 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-12-24. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]