Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara

Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara
English: Lake Manyara Airport
IATA: LKYICAO: HTLM
WMO: 63844
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Hifadhi ya Ziwa Manyara, Tanzania
Mwinuko 
Juu ya UB
4,150 ft / 1,265 m
Anwani ya kijiografia 03°22′33″S 35°49′06″E / 3.37583°S 35.81833°E / -3.37583; 35.81833
Ramani
LKY is located in Tanzania
LKY
LKY
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
12/30 1,220 4 003 Changarawe

Uwanja wa ndege wa Ziwa Manyara (IATA: LKYICAO: HTLM) ni kiwanja cha ndege kinacho hudumia Hifadhi ya Ziwa Manyara nchini Tanzania.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]