Vadim Alexandrovich Chernobrov (1965, Oblast ya Volgograd – 18 Mei 2017, Moscow) alikuwa mwanzilishi na kiongozi wa Kosmopoisk, shirika linalojihusisha na utafiti wa UFO na mafumbo.[1][2] [3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vadim Chernobrov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |