Vadim Gerasimov

Vadim Viktorovich Gerasimov ni mhandisi katika kampuni ya Google. Kuanzia mwaka 1994 hadi 2003, Vadim alifanya kazi na kusoma katika MIT Media Lab.[1][2]

  1. Sheff, David. Game Over: How Nintendo Conquered The World, Vintage, 1994. ISBN 0-679-73622-0
  2. "Vadim Gerasimov - Tetris Story" (Accessed August 15, 2006)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vadim Gerasimov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.