Valentine Tsamma Seane (alizaliwa 2 Novemba 1966) ni askofu wa zamani wa Jimbo Katoliki la Gaborone, lililo na Kanisa Kuu la Christ the King mjini Gaborone, Botswana.
Yeye ni Motswana wa pili kuwa askofu nchini Botswana.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |