Uwanja wa Michezo wa Vida Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uswidi. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2011 kwenye mji wa Växjö nchini Uswidi. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Växjö Lakers na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,750.[1][2][3]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Vida Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |