Vincent Mojwok Nyiker (25 Januari 1933 – 5 Januari 2018) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.
Alizaliwa nchini Sudan akapadrishwa mwaka 1962. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Malakal, Sudan Kusini kuanzia mwaka 1979 hadi alipostaafu mwaka 2009.
Mojwok Nyiker alifariki dunia tarehe 5 Januari 2018 huko Khartoum.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |