Virodene ilidaiwa kuwa dawa ya VVU / UKIMWI. Ilitengenezwa nchini Afrika Kusini, lakini ilikataliwa na jamii ya wanasayansi. Hata hivyo mwaka 2000 ilifanyiwa majaribio katika hospitali za jeshi la Tanzania[1].
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Virodene kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |