Wallace Karia

Wallace Karia ni msimamizi wa soka kutokea nchini Tanzania na kwa sasa ni raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) . [1] [2] Mwaka 2019, alichaguliwa pia kuwa raisi wa Chama Cha Soka kwa nchi za Afrika mashariki na kati (CECAFA). [3] Alishinda uchaguzi wa TFF wa 2021 na kumfanya kubaki na kiti chake.

  1. "Reasons of Karia being the TFF President" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. FIFA.com. "Member Association - Tanzania". www.fifa.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 4, 2020. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "CECAFA elections Wallace Karia reelected as president" (kwa Kiingereza). Januari 6, 2023. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wallace Karia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.