William P. Homans III, (alizaliwa 1949) anajulikana kama "Watermelon Slim", ni mwanamuziki na mpiga gitaa wa nchini Marekani. William alijiunga na kundi la Northern Blues Music (Muziki wa Kaskazini) mjini Toronto, Ontario. William Homans amepata shahada ya kwanza ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Oregon na Chuo Kikuu cha Jimbo la Oklahoma.[1][2] [3][4]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Watermelon Slim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |