Waziri Mkuu wa Tanzania ni msimamizi wa shughuli zote za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anawakilisha serikali katika bunge la taifa. Yuko chini ya mamlaka ya rais.[1] Anateuliwa na rais akihitaji kuthebitishwa na wabunge wengi.[2]
Waziri Mkuu si kiongozi wa serikali lakini anaongoza vikao vya baraza la mawaziri wakati rais na makamu wa rais hawapo.[3]
Tanganyika African National Union (TANU)
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
№ | Picha | Name (mwaka wa kuzaliwa - kufariki dunia) |
Aliingia ofisini | Alitoka ofisini | Chama |
---|---|---|---|---|---|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||||
Cheo kilofutwa (26 Aprili 1964 – 29 Oktoba 1964 | |||||
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||||
Cheo kilofutwa (29 Oktoba 1964 – 17 Februari 1972) | |||||
Rashidi Kawawa (1926–2009) |
17 Februari 1972 | 5 Februari 1977 | TANU | ||
(1) | 5 Februari 1977 | 13 Februari 1977 | CCM | ||
2 | Edward Sokoine (1938–1984) (1st time) |
13 Februari 1977 | 7 Novemba 1980 | CCM | |
3 | Cleopa Msuya (1931–) (1st time) |
7 Novemba 1980 | 24 Februari 1983 | CCM | |
(2) | Edward Sokoine (1938–1984) (2nd time) |
24 Februari 1983 | 12 Aprili 1984[4] | CCM | |
4 | Salim Ahmed Salim (1942–) |
24 Aprili 1984 | 5 Novemba 1985 | CCM | |
5 | Joseph Warioba (1940–) |
5 Novemba 1985 | 9 Novemba 1990 | CCM | |
6 | John Malecela (1934–) |
9 Novemba 1990 | 7 Desemba 1994 | CCM | |
(3) | Cleopa Msuya (1931–) (2nd time) |
7 Desemba 1994 | 28 Novemba 1995 | CCM | |
7 | Faili:Frederick SuMeie boston Desemba 2006.png | Frederick SuMeie (1950–) |
28 Novemba 1995 | 30 Desemba 2005 | CCM |
8 | Edward Lowassa (1953–) |
30 Desemba 2005 | 7 Februari 2008 | CCM | |
9 | Mizengo Pinda (1948–) |
9 Februari 2008 | 20 Novemba 2015 | CCM | |
10 | Kassim Majaliwa (1960–) |
20 Novemba 2015 | mwenye majukumu | CCM |