Wiki Indaba ni mkutano maalumu unaoandaliwa na taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya bara la Afrika.[1][2] Midahalo pamoja na mada mbalimbali kuhusiana na miradi ya Wikipedia katika bara la Afrika hujadiliwa katika mkutano huo.
Maelezo haya yanaonyesha vipindi tofauti tofauti ambavyo mkutano wa Wiki Indaba ulifanyika.
Nembo | Mkutano | Tarehe | Nchi |
---|---|---|---|
![]() |
WikiIndaba 2014 | Juni 20–22 | Johannesburg, Afrika Kusini[3] |
![]() |
WikiIndaba 2017 | Januari 20–22 | Accra, Ghana[4] |
![]() |
WikiIndaba 2018 | Machi 16–18 | Tunis, Tunisia[5] |
![]() |
WikiIndaba 2019 | Novemba 8–10 | Abuja, Nigeria[6] |
![]() |
WikiIndaba 2021 | Novemba 5–7 | Kwa Njia ya mtandao |
![]() |
WikiIndaba 2022 | Novemba 4–6 | Kigali, Rwanda |
{{cite news}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link)