William Chirchir (alizaliwa Bomet, 6 Februari 1979) ni mwanariadha kutoka Kenya ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 1500. Ni mshikilizi wa zamani wa rekodi ya vijana duniani kwa umbali wa dakika 3:33.24 kutoka mwaka 1998.[1]
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Chirchir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |