Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (Kiingereza: Ministry of Health and Social Welfare kifupi (MoH)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |