Wote | |
Mahali pa Wote katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°47′0″S 37°38′0″E / 1.78333°S 37.63333°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Makueni |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,419 |
Wote ni mji wa Kenya Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Makueni[1].
Wakazi wa eneo lake ni 56,419 (sensa ya mwaka 1999).
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wote kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |