Yahya Zayd

Yahya Zayd ,(alizaliwa 21 Juni 1996) ni mwanasoka wa kimataifa nchini Tanzania ,anayecheza timu ya Ismaily iliyopo huko Misri.[1]

  1. "Tanzania - Z. Yahya - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". us.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.