Yasmine Allas

Yasmine Allas (Kisomali: Yasmiin Callas‎, Kiarabu: ياسمين علس‎; alizaliwa 1967) ni mwanamke muigizaji na mwandishi mwenye asili ya Kisomalia na Kiholanzi.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Allas alizaliwa mnamo mwaka 1967 katika mji wa Mogadishu, ambao ni mji mkuu wa Somalia.[1][2] Familia yake ilikuwa ni ya kitajiri, ambapo baba yake alikuwa akifanya kazi kama Generali kwenye Jeshi la Somalia.[2] aliuawa mnamo mwaka 1977, alipokuwa bado mdogo.[3]

  1. "Yasmine Allas". Nederlands Letterenfonds. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-31. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2014. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 Bruyn, Martje Breedt (16 Mei 1998). "Yasmine Allas schrijft door een vergrootglas". Vrij Nederland. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-16. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2014. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "MatchBoox". www.matchboox.com (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2024-04-19.