Yoan Garneau, pia anajulikana kama Yoan, (amezaliwa tarehe 10 Mei, mwaka 1995) ni mwimbaji wa muziki wa pop, rock, na country kutoka Ferme-Neuve, Quebec.[1][2][3]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yoan Garneau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |