Yuki Mizutani (alizaliwa 11 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Urawa Reds inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Yuki alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 12 Septemba 2021.[1] [2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuki Mizutani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |