Yusaku Kodama

Yusaku Kodama(alizaliwa 16 Desemba 2000) ni mruka viunzi nchini Japani ambaye alikuwa mshindi wa medali ya fedha kwenye mashindano ya riadha ya Asia ya mwaka 2023 katika mbio za mita 400 za kuruka viunzi.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yusaku Kodama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.