Yuta Kanno

Yuta Kanno (菅野 優太, Kanno Yūta,alizaliwa 13 Disemba 1980 katika Wilaya ya Chiba) ni mwanariadha wa zamani nchini Japani Mtaalamu wa mbio na kukimbia uwanjani,alimaliza wa sita katika mbio za mita 100 kwenye mashindano ya Asia ya mwaka 2002 na kumaliza wa nne katika mbio za kupokezana za mita 4 × 100. Pia alikuwa bingwa wa vijana wa Asia mwaka 1999 katika mbio za kupokezana za mita 4 × 100 na bingwa wa Japani mwaka 1999 katika mita 200.[1]

  1. "KYOTOGRAPHIE 京都国際写真祭 SPECIAL EDITION TOKYOGRAPHIE 2019 開催のお知らせ". Fujifilm (kwa Japanese). 31 Oktoba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-02. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuta Kanno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.