Zaraï

Ramani ya Dola la Roma, Jimbo la Numidia katika karne ya 4.
Ramani ya Algeria, ulipo mji wa kale wa Zaraï.

Zaraï ulikuwa mji wa kale katika Dola la Roma ambapo waliishi jamii ya Waberberi. Leo hii hupatikana katika mji wa Aïn Oulmene, Algeria. Chini ya utawala wa Warumi, Zaraï ilikuwa ni sehemu ya jimbo la Numidia.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-28. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zaraï kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.